Anza Biashara Kidigitali
Jenga mfumo wa biashara wenye muonekano wa kisasa na usimamizi wa kitaalamu.
Sajili biashara yako, ongeza maduka, bidhaa, staff, wateja,
suppliers, mauzo, matumizi na ripoti zote kupitia dashboard moja.
1. Sajili Biashara
Weka jina la biashara, mmiliki, email na password.
2. Chagua Plan
Free trial au paid plan kulingana na mahitaji yako.
3. Simamia Mauzo
Anza kuuza, kufuatilia stock na kuona reports za biashara.