Mfumo wa kisasa kwa business owners kusimamia stores, products, sales, customers, suppliers, expenses na reports ndani ya dashboard moja.
Owner akijisajili, system inatengeneza automatically:
Mfumo huu umeandaliwa kwa biashara zenye maduka moja au mengi.
Owner anaweza kuongeza na kusimamia matawi tofauti ya biashara.
Ongeza wafanyakazi, cashier, manager na admin kwa kila store.
Simamia bidhaa, bei, stock, barcode, supplier na expiry date.
Fanya mauzo, toa receipt na stock ipungue automatically.
Rekodi matumizi ya biashara na ujue faida kwa urahisi.
Angalia mauzo, matumizi, profit, stock alerts na products zilizoisha.
Chagua kama unataka kujisajili kama owner au kuingia kwenye account.